Habari za Punde

Vijana Wajitokeza Kuchukua Fomu Kugombea Ubunge wa Afrika Mashari Zanzibar.

Ofisa wa Ofisi ya Oganizesheni na Itikadi Afisi Kuu ya CCM Zanzibar Ndg Abdi Mahmoud akipokea fomu ya Mgombea Nafasi ya Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki Maryam Said Zuberi baada ya kukamilisha taratibu zote za ujazaji wa fomu hiyo ya kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki, Akirejesha fomu hiyo katika Afisi Kuu ya CCM Zanzibar mwisho wa kurejesha na kuchua ni tarehe 23, march 2017.
Afisa wa Ofisi ya Oganizesheni na Itikadi Ndg Abdi Mahmoud akikagua fomu za Bi Maryam Said Zuberi baada ya kukamilisha taratibu zote za ujazaji wa fomu hiyo ya kugombea nafasi ya Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki. 
Mgombea kuteuliwa kugombea nafasi ya Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki Maryam Said Zuberi akisaini kitabu cha kurejesha fomu hizo. Afisi Kuu ya CCM Zanzibar leo mchana. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.