Habari za Punde

Mwili wa Samira Sultan waonekana kwenye karo

SAMIRA SULTAN ALIYEKUWA ANAISHI KIEMBESAMAKI ALIKUWA AMEPOTEA MIAKA MIWILI NA NUSU ILIYOPITA NA KURIPOTIWA VITUO VYOTE AZIZI NYONI. 

AMBAE ALIKUWA AKIISHI NAE ALIPOULIZWA ALISEMA MARA KASAFIRI MARA KAOLEWA UKWELI ALISHINDWA KUELEZA KUWA AMEMTUMBUKIZA KARONI INASIKITIKA SANA MSIBA MPYA KWA WANA FAMILIA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.