Habari za Punde

Naibu Wazri wa Afya akutana na waandishi wa habari kuwapa taarifa za mapambano dhidi ya kifua kikuu

 Mkurugenzi kinga na elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Fadhil Mohammed Abdalla akitoa maelezo kwa wandishi wa habari na kumkaribisha Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Bi. Harusi Said Suleiman katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika ukumbi wa Wizara hiyo Mjini Unguja.
 Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Bi. Harusi Said Suleiman akitoa maelezo kwa waandishi wa habari kuhusu mapambano zidi ya Kifua Kikuu katika ukumbi wa Wizara ya Afya.

 Baadhi ya wandishi wa habari waliofika katika mkutano wa Naibu Wizara ya Afya wakifuatilia mkutano huo.

Mkuu wa kitengo cha Kifua Kikuu (TB) Zanzibar Dkt. Khamis Abubakar Suleiman akijibu maswali yaliyoulizwa na waandishi wa habari katika mkutano wao.

Picha na Makame Mshenga-Maelezo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.