Habari za Punde

Nani Ataibuka Mshindi Usiku Huu Kati ya JKU na Taifa ya Jangombe Katika Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Mchezo Unaofanyika Usiku Huu Uwanja wa Aman Zanzibar.

Ligi kuu ya soka Zanzibar kituo cha Unguja itaingia mzunguko wa 25 hapo kesho kwa michezo miwili kwenye dimba la Amaan.

Wakati mzunguko huo ukitarajiwa kuwa na upinzani macho na hamu ya mashabiki wengi wa soka visiwani hapa imeelekezwa kwenye pambano la siku ya leo Jumatatu 13/3/2017 wakati wa saa moja usiku kati ya Taifa ya Jang'ombe dhidi ya klabu ya JKU.

Ligi kuu ya soka Zanzibar kituo cha Unguja itaingia mzunguko wa 25 hapo kesho kwa michezo miwili kwenye dimba la Amaan.

Wakati mzunguko huo ukitarajiwa kuwa na upinzani macho na hamu ya mashabiki wengi wa soka visiwani hapa imeelekezwa kwenye pambano la siku ya Jumatatu 13/3/2017 wakati wa saa moja usiku kati ya Taifa ya Jang'ombe dhidi ya klabu ya JKU.
Hali hiyo inakuja kufuatia timu hizo kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kuwania mchezaji Metha Aping Viblo raia wa DR Congo.

Hata hivyo ndani ya kashkash hiyo Taifa ndiyo waliofanikiwa kuramba dume kwa kumsajili mchezaji huo sambamba na Mkongo mwenzake Baraka Ushindi kufuatia ombi lao la ITC kukubaliwa kutoka nchini Congo.

Hebu mwanablog hii fuatilia ratiba hii uone jinsi mechi za mzunguko huo zitakavyokua.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.