Habari za Punde

Rais Dk Shein akutana na Walimu wa Sekondari za Unguja

 Baadhi ya Walimu wa Skuli za Sekondari za Unguja wa Mikoa Mitatu ya Unguja wakiwa katika mkutano wa pamoja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni Mjini Unguja.[Picha na Ikulu.] 28/03/2017.

  Baadhi ya Walimu wa skuli za Sekondari za Unguja wakiwa katika mkutano wa pamoja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni Mjini Unguja.[Picha na Ikulu.] 28/03/2017.

 Viongozi mbali mbali wa Serikali wakiwa katika mkutano maalum wa walimu wa skuli za Sekondari za Unguja, uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.[Picha na Ikulu.] 28/03/2017.
 Baadhi ya Watendaji mbali mbali  wakiwa katika mkutano maalum wa walimu wa Skuli za Sekondari za Unguja, uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni Mjini Unguja,ambapo  mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.[Picha na Ikulu.] 28/03/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe. Ayoub Mohamed Mahamoud alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi mnazi mmoja mjini unguja katika mkutano maalum wa walimu wa skuli za sekondari za unguja.[Picha na Ikulu.] 28/03/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Riziki Pembe Juma   alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi mnazi mmoja mjini unguja katika mkutano maalum wa walimu wa skuli za sekondari za unguja.[Picha na Ikulu.] 28/03/2017.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wa Serikali alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja katika mkutano maalum wa walimu wa skuli za Sekondari za unguja.[Picha na Ikulu.] 28/03/2017.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akifuatana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Riziki Pembe Juma pamoja na Viongozi wengine alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi mnazi mmoja Mjini Unguja katika mkutano maalum wa Walimu wa Skuli za Sekondari za Unguja.[Picha na Ikulu.] 28/03/2017.

 Baadhi ya Walimu wa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa Mkutano na Walimu wa Skuli za Sekondari za Mikoa mitatu ya Unguja,uliofanyika leo katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja,{Picha na Ikulu.]28/03/2017.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa Mkutano na Walimu wa Skuli za Sekondari za Mikoa mitatu ya Unguja,uliofanyika leo katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja,{Picha na Ikulu.]28/03/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.