Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akivuta kitambaa pamoja na Rais wa
Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi katika
Mradi wa ujenzi wa Makutano ya barabara za Juu Ubungo Interchange jijini Dar es
Salaam. Pembeni kulia ni Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipiga makofi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru
Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim mara baada ya kuzindua mitambo na
magari yatakayotumika katika ujenzi wa makutano ya barabara za juu za Ubungo
(Ubungo interchange) jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni
wake Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim wakimsikiliza Kaimu Mtendaji Mkuu
wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS Mhandisi Crispianus Ako aliyekuwa
akielezea nama ya ujenzi huo makutano ya barabara za juu za Ubungo(Ubungo
interchange) zitakavyokuwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais wa Benki ya
Dunia Dkt. Jim Yong Kim pamoja na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Profesa Makame Mabarawa wakati wakielekea kuweka jiwe la msingi ujenzi wa
makutano ya barabara za juu Ubungo
interchange, Ubungo jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa
Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim wakiwapungia wananchi mkono wakati wakielekea
kuweka jiwe la msingi ujenzi wa makutano ya
barabara za juu Ubungo interchange, Ubungo jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi hawapo
pichani kabla ya kuweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa ya
barabara za juu Ubungo interchange,
Ubungo jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru
Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim mara baada ya kutoa hotuba yake kabla
ya kuweka jiwe la msingi mradi wa Makutano ya barabara za juu Ubungo
interchange, Ubungo jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Wananchi wakifatilia kwa makini hotuba iliyokuwa ikitolewa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya kuweka
jiwe la msingi Mradi wa ujenzi wa Makutano ya barabara za juu Ubungo
interchange, Ubungo jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo wakati akiwa ndani
ya basi la Mwendokasi pamoja na Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim
(anayetazama kadi yake ya DART) wakati wakitokea kituo kikuu cha BRT-Kivukoni
kuelekea Ubungo kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa Makutano ya
barabara za juu Ubungo interchange, Ubungo jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais wa Benki ya
Dunia Dkt. Jim Yong Kim wakati wakiwa ndani ya moja ya basi la DART wakati
wakitokea kituo kikuu cha BRT-Kivukoni kuelekea Ubungo kwa ajili ya uwekaji wa
jiwe la msingi mradi wa Makutano ya barabara za juu Ubungo interchange, Ubungo
jijini Dar es Salaam.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akipanda basi la DART-Maarufu kama Mabasi ya
Mwendokasi katika eneo la Kivukoni wakati akielekea Ubungo kuhudhuria sherehe
za uwekaji wa jiwe la msingi Mradi wa ujenzi wa Makutano ya barabara za juu
Ubungo interchange, Ubungo jijini Dar es Salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli akiwa ndani ya basi la Mwendokasi wakati akielekea Ubungo kuhudhuria
sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Mradi wa ujenzi wa Makutano ya barabara za
juu Ubungo interchange, Ubungo jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni
wake Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong
Kim wakati wakiagana na wananchi wa Kivukoni hawapo pichani kabla ya kupanda
Basi la Mwendokasi (DART) kuelekea Ubungo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya
uwekaji wa jiwe la Msingi Mradi wa Makutano ya barabara za juu za Ubungo jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akimkaribisha Rais wa Benki ya Dunia
Dkt. Jim Yong Kim mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Rais wa Benki ya Dunia
Dkt. Jim Yong Kim mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Benki ya Dunia
Dkt. Jim Yong Kim mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es
Salaam.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment