Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Ashiriki Uzinduzi Mkutano wa Jukwaa la Uchumi la Aerica Mjini Port Louis - Mauritius.

Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Swaziland , Barnabas Sibusiso Dlamini katika uzinduzi wa Jukwaa la Uchumi la Afrika kwenye hoteli ya Westin mjini Port Louis, Mauritius, leo Machi 20, 2017.  
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wakuu wa nchi za Afrika walioshiriki katika uzinduzi wa Jukwaa la Uchumi la Afrika kwenye Hoteli ya Westin mjini Port Louis nchini Mauritius Machi 20, 2017.(Picha na 0fisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.