Habari za Punde

Tangazo la Mualiko wa Katika Sherehe za Maulid Segerea Mwisho Tarehe 11 MACH 2017 Mnaalikwa Wote.ASALAAM ALAIKUM WARAHMATULLAH WABARAKATU

Ungozi wa Al Madrasat Rahman na Masjid Qubah Segerea mwisho,Dar unawakumbusha waumini kuwa ile sherehe ya Maulid ya Kumswalia Mtukufu wa darja Mtume Muhammad (S.A.W) kuwa itafanyika Jumaamosi ya wiki hii tarehe 11.3.2017 Segerea Mwisho jijini 
Dar es salaam.

RATIBA: Kuanzia Saa 4 asubuhi maulid ya Kina mama(wanawake).
Saa 10 alahsir Wanafunzi wa Madrasa watasoma Quran 
Saa 2 usiku baada ya swalat inshaa Maulid ya jumuiya yakiongozwa na wanaume mnakaribishwa wote.

Wasiliana nasi simu 0622617961 au 0712407032 kimataifa piga +255 622617961

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.