Habari za Punde

Uzinduzi wa michuano ya mpira wa miguu Majimbo ya CCM

 Vijana wa CCM Family wakipita kwa  maandamano wakati wa  Uzinduzi wa Mashindano ya michuano ya Majimbo ya CCM Mpira wa Miguu katika uwanja wa Amaan leo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohanmed Shein,[Picha na Ikulu.] 24/03/2017.


 Vijana wa CCM Jimbo la Jang'ombe wakipita kwa  maandamano wakati wa  Uzinduzi wa Mashindano ya michuano ya Majimbo ya CCM Mpira wa Miguu katika uwanja wa Amaan leo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohanmed Shein,[Picha na Ikulu.] 24/03/2017.

 Vijana wa CCM Aisi Kuu Kisiwandui wakipita kwa  maandamano wakati wa  Uzinduzi wa Mashindano ya michuano ya Majimbo ya CCM Mpira wa Miguu katika uwanja wa Amaan leo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohanmed Shein,[Picha na Ikulu.] 24/03/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohanmed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Mashindano ya michuano ya Majimbo ya CCM Mpira wa Miguu katika uwanja wa Amaan leo,[Picha na Ikulu.] 24/03/2017.

Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohanmed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Mashindano ya michuano ya Majimbo ya CCM Mpira wa Miguu katika uwanja wa Amaan leo,[Picha na Ikulu.] 24/03/2017.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wachezaji wa Timu ya Jimbo la Mfenesini Mkoa Magharibi Timu ya Jimbo la Mpendae CCM kama ishara ya uzinduzi wa Mashindano ya Majimbo ya CCM Unguja, wakati Timu hiyo ilipo pambana na Timu ya Jimbo la Mpendae CCM,uzinduzi huo umefanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 24/03/2017.
Baadhi ya wanakamati ya maandalizi ya michuano ya Majimbo ya CCM Mpira wa Miguu katika uwanja wa Amaan uliofanyika leo wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohanmed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa michuano hiyo,[Picha na Ikulu.] 24/03/2017.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wachezaji wa Timu ya Jimbo la Mpendae CCM ikiwa kama ishara ya uzinduzi wa Mashindano ya Majimbo ya CCM Unguja, wakati Timu hiyo ilipo pambana na Timu ya Jimbo la Mfenesini Mkoa Magharibi,uzinduzi huo umefanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 24/03/2017.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na kamati ya maandalizi ya Mashindano ya Majimbo ya CCM Unguja, wakati Timu zilizofungua dimba Jimbo la Mpendae na Mfenesini  katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 24/03/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.