Habari za Punde

Zanzibar Ni Njema

Zanzibar ni njema atakaye aje ndivyo inavyoonekana wageni hao wakisema wakiwa katika Kijiji cha Nungwi wakitembea na baskeli kutembelea vijiji hivyo wakiwa katika matembezi yao ya Kitalii Zanzibar kwa kutembelea sehemu mbalimbali kwa ajuli ya kujionea maeneo ya historia ya Visiwa vya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.