Habari za Punde

Ziara ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti Cha China CPC Zanzibar

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Juma Abdallah Mabodi akisalimiana na Mgeni wake ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya  Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Guo Jinlong alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ziara ya siku moja Zanzibar
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Guo Jinlong geMjumbe akimsalimiana mtoto aliyeandaliwa kwa ajili ya kumvalisha shada la maua Naifat Fauz, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Guo Jinlong akimsalimia Waziri wa Ujenzi , Mawasiliano na Usafirishaji Mhe. Balozi Ali Karume alipowasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ziara ya siku moja Mjini Zanzibar.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Guo Jinlong akimsalimia na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohammed Mahmoud  alipowasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ziara ya siku moja Mjini Zanzibar.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Guo Jinlong akimsalimia na Mnadhimu wa Baraza la Wawakilishi wa Chama cha CCM Baraza la Wawakilishi na Mwakilishi wa Jimbo la Kwahani Mhe Ali Salum, alipowasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ziara ya siku moja Mjini Zanzibar.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Guo Jinlong akimsalimia na Meya wa Mji wa Zanzibar Mhe Khatib Abdurahaman Khatib,alipowasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ziara ya siku moja Mjini Zanzibar.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Guo Jinlong akimsalimia na Kiongozi wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Bi Waride Bakari Jabu,alipowasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ziara ya siku moja Mjini Zanzibar.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Guo Jinlong akimsalimia Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe Vuai Mwinyi,alipowasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ziara ya siku moja Mjini Zanzibar.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Guo Jinlong akimsalimia na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Zanzibar Mhe. Mohammed Raza alipowasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ziara ya siku moja Mjini Zanzibar.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Guo Jinlong, akimsikiliza mwenyeji wake Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Dk. Abdallah Juma Mabodi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kwa ziara ya siku moja Zanzibar
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Guo Jinlong akimsalimia na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi waliofika Uwanja wa Ndege wa Zanzibar kumpokea akiwa katika ziara yake ya siku moja Zanzibar.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Guo Jinlong, akisaini kitabu cha wageni akiwa katika VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiwa na mwenyeji wake Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk Abdallah Juma Mabodi.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Guo Jinlong, akizungumza na Viongozi wa Serikali na Chama alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar  kwa ziara ya siku moja Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.