Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli Apokea Hati za Utambulisho Kutoka Kwa Mabalozi Sita wa Nchi Mbalimbali Ikulu Dar es Salaam leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Mhe. Laszlo Eduard Mathe Balozi wa Hungary nchini mwenye makazi yake jijini Nairobi Kenya leo Machi 23, 2017 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Dmitry Kuptel Balozi wa Mauritius  nchini mwenye makazi yake jijini Maputo nchini Msumbiji leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Mhe. Sidibe Fatoumata Kama,Balozi wa Guinea  nchini mwenye makazi yake jijini Addis Ababa, Ethiopia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Mhe. Lebonaamang Thanda Mokalake,Balozi wa Botswana nchini mwenye makazi yake jijini Lusaka, Zambia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Mhe. Adam Maiga Zakariaou Balozi wa Niger  nchini mwenye makazi yake jijini Addis Ababa, Ethiopia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa  Mhe. Jean Pierre Jhumun, Balozi wa Belarus  nchini mwenye makazi yake jijini Addis Ababa Ethiopia  leo Machi 23, 2017 Ikulu jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.