NAIBU katibu Mkuu
UVCCM Zanzibar Mhez:Abdullghafar Idrisa Juma, akimkabidhi bati muwasisi wa CCM
Michakweni Kiwani, Amina Juma Heri ili kumaliza ujenzi wa nyumba yake, wakati
alipotembelea nyumba ya mwana CCM huyo

UVCCM Zanzibar Mhe:Mhe:Abdullghafar Idrisa Juma, akishiriki Ujenzi katika Tawi
la CCM Mkungu Kengeja, kwa kuweka Tufali na Udongo katika ziara yake ya siku
nne Kisiwani Pemba

NAIBU katibu Mkuu UVCCM Zanzibar Mhe:Abdullghafar Idrisa Juma,
akizungumza na vijana wa CCM katika tawi la CCM lililopewa jina la Balozi Seif
Ali Iddi, wakati alipowatembelea vijana hao katika ziara yake ya siku nne
Kisiwani Pemba.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA)
No comments:
Post a Comment