BAADHI ya wataalamu wa kompyuta na maofisa sheria,
kutoka taasisi na mashirika ya umma kisiwani Pemba, wakisikiliza uwasilishaji
wa rasimu ya sheria ya serikali mtandao ‘E-Government’ kwenye mkutano
uliofanyika ukumbi wa Maktba Chakechake, mkutano huo ulitayarishwa na Idara ya
serikali mtandao Zanzibar, (Picha na
Haji Nassor, Pemba).
BAADHI ya wataalamu wa kompyuta na maofisa sheria,
kutoka taasisi na mashirika ya umma kisiwani Pemba, wakisikiliza uwasilishaji
wa rasimu ya sheria ya serikali mtandao ‘E-Government’ kwenye mkutano
uliofanyika ukumbi wa Maktaba Chakechake, mkutano huo ulitayarishwa na Idara ya
serikali mtandao Zanzibar, (Picha na
Haji Nassor, Pemba).
MKURUGENZI Idara serikali mtandao
Zanzibar Shaaban Haji Chumu, akielezea namna ilivyopatikana rasimu ya sheria ya
serikali mtandao, kwa maofisa sheria na wataalamu wa kompyuta, kutoka taasisi
na mashirika ya umma Kisiwani Pemba, mkutano huo ulifanyika ukumbi wa maktaba
Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor,
Pemba).
NAIBU Katibu mkuu anaeshughulia Utumishi wa
Umma Zanzibar Seif Shaaban Mwinyi, akifungua mkutano wa uwasilishwaji wa rasimu
ya sheria ya serikali mtandao, kwa maofisa sheria na wataalamu wa kompyuta,
kutoa taasisi za serikali na kufanyika ukumbi wa Maktaba Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
AFISA Mdhamini wizara ya nchi afisi ya
rais, Katiba, Sharia, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Pemba, Massoud Ali
Mohamed, akitoa neno la shukuran, mara baada ya Naibu Katibu Mkuu wake, kutoa
hutuba ya ufunguzi, kwenye mkutano wa kuwasilisha rasimu ya sheria ya serikali
mtandao, uliofanyika ukumbi wa Maktaba Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment