Habari za Punde

Kibaka aponea chupuchupu kupigwa na vijana wenye hasira baada ya kutuhumiwa kuiba



ASKARI wa Polisi wa usalama barabarani, anaefanyia kazi zake eneo la soko la matunda na mboga mboga mjini Chakechake kisiwani Pemba, ambae hakupatikana jina lake mara moja, akimuokoa na kipigo kijana mmoja aliedaiwa kumuibia mama mmoja sokoni hapo, ambapo kijana huyo kisha aliingizwa kwenye gari yenye namba za usajili SLS 210 B na kufikishwa kituo cha Polisi Madungu, akiambatana na mama huyo, (Picha na mpiga picha wetu Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.