Habari za Punde

Kutoka Bungeni Dodoma Waziri Mkuu Awasilisha Makadirio ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu.

Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai akizungumza bungeni mjini Dodoma Aprili 6, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasilisha Makadirio ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa Fedha 2017/2018, bungeni mjini Dodoma Aprili 6, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.