Habari za Punde

Kwa kukosa ajira ya kudumu, Mzee Mohammed Amour astaafu bila ya kiinua mgongo

Mzee Moh'd Amour Hamad , ambae alifanyakazi ya kuatika miche ya miti mbali mbali ikiwemo Mikarafuu kwa muda mrefu hadi kufikia umri wa kustaafu wakati akiwa hakupata ajira ya kudumu na hivyo kupelekea kumaliza kazi akiwa hana kiinua mgongo.

 Baadhi ya Miche ya miti mbali mbali ambayo mzee huyo amekuwa akiatika huko katika kitalu ya miti cha Wingwi Kilindini -Pemba.


Picha na Asha Salim , Wizara ya Kilimo Pemba.

1 comment:

  1. Huyu mzee pamoja na kustaafu hadi leo hajalipwa mafao yake. Kesi yake niliisimamia na ilionekana watu fedha wamekula na yeye kushindwa kupewa malipo yake

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.