Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Timu ya KMKM na Mundu Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya KMKM Imeshinda 3--0.

Beki wa Timu ya KMKM akijaribu kumzuiya mshambuliaji wa Timu ya Mundu wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu Kanda ya Unguja mchezo uliofanyika uwanja wa amaan Unguja Timu ya KMKM imetoka kivua mbele kwa ushindi wa mabao 3--0
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.