Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Afungua Semina ya Siku Moja Juu ya Umuhimu wa Vyombo Vya Habari Vya Serikali Kwa Maendeleo ya Taifa.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo alipowasili katika viwanja vya Wizara ya Habari Kikwajuni kuhudhuria Semina ya Waandishi wa Habari na Watendaji wa Serikali iliofanyika katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni Zanzibar. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akifungua Mkutano wa Semina Juu ya Umuhimu wa Vyombo vya Habari vya Serikali kwa maendeleo ya Taifa uliowakutanisha Waandishi wa Habari na Watendaji wa Serikali katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani kikwajuni Zanzibar
Baadhi ya Mawaziri na Watendaji wa SMZ wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akifungua semina hiyo katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar

Baadhi ya Waandishi wa Habari wa Vyombo vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Dk Shein, akifungua semina hiyo ya siku moja kwa waandishi wa habari na watendaji wa Serikali katika ukumbi wa baraza la wawakilishi la zamani kikwajuni Zanzibar

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Ndg Hassan Abdalla Mitawi akitowa Mada kuhusiana na Umuhimu wa Vyombo vya Habari kwa Maendeleo ya Taifa, wakati wa semina hiyo iliowajumuisha waandishi wa habari wa vyombo vya SMZ na Watendaji wa Serikali iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar

Mwandishi wa habari muandamizi wa Gazeti la Zanzibar leo Mwantanga Ame akichangia mada hiyo wakati wa semina hiyo baada ya kuwasilishwa mada na muhusika umuhimu wa vyomvo vya habari Zanzibar
Mwandishi wa habari wac Shirika la Utangazaji la Zanzibar ZBC Suzan Kunambi akichangia mada hiyo wakati wa semina hiyo baada ya kuwasilishwa mada na muhusika umuhimu wa vyomvo vya habari Zanzibar
Mwandishi wa habari wa Idara ya Habari Maelezo Faki Mjaka akichangia mada hiyo wakati wa semina hiyo baada ya kuwasilishwa mada na muhusika umuhimu wa vyomvo vya habari Zanzibar
Mhariri Mtendaji wa Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar Leo Ndg Yussuf Khamis akisisitiza jambo wakati akichangia Mada hiyo baada ya kuwasilishwa na kueleza matumizi ya propaganda kwa vyombo vya habari

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.