Habari za Punde

Mabaraza la Vijana Pemba Watakiwa Kutumia Baraza Yao Kutowa Elimu kwa Vijana wa Baraza Hayo.

Naibu Waziri Wizara ya Kazi,Uwezeshaji, Wazee, Vijana Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Shdya Mohammed Seluiman, akizungumza na Wajumbe wa mabaraza ya Vijana  ya Wilaya ya Chakechake Pemba.
Mkurugenzi wa Mfuko wa Uwezeshaji,Ndg.Suleiman Juma Ali, akizungumza na viongozi wa mabaraza ya Vijana juu ya fedha ambazo Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeweka kwa ajili ya kuyaendeleza mabaraza ya Vijana Zanzibar.
Mwakilishi wa Jimbo la Chake Chake Pemba Mhe.Suleiman Sarahani  Said,akifunguwa Kongamano la kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume huko katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba.

Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Watoto wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, wakifuatilia kwa makini hatuba ya mgeni rasmi katika ufunguzi wa Kongamano la siku moja kuhusiana na kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume.
Picha na Habiba Zarali - Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.