Zoezi la Mradi wa ufungaji wa camera za CCTV katika manispa ya Mji wa Zanzibar likiendelea katika maeneo mbalimbali ya barabara za manispa hiyo, kama walivyokutwa na camera yetu mafundi hawa wakiwa katika eneo la mkunazini kwa Khamis machungwa wakiendelea na zoezi hilo la uwekaji wa camera hizo.
Hali ya marikiti kuu ya samaki darajani Zenj ikiwa na upungufu wa samaki kutokana na uhaba wake uliosababishwa na kwisha kwa bamvua. Wakazi wa Unguja hutumia samaki sana kuliko nyama ya ngombe.
No comments:
Post a Comment