Habari za Punde

Mwenyekiti wa CCM Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli Akutana na Viongozi wa CCM.

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake (UWT) Ndugu. Anna N. Makillagi , Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole baada ya kukutana nao Ikulu jijini Dar es salaam
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole akiongea leo Aprili 14, 2017. 
Picha na Ikulu 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.