Habari za Punde

Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe Dk Khalid Mgeni Rasmin Mahafali ya Pili ya Chuo Cha ZCBE Kisiwani Pemba.

Waziri Fedha na Mipango Zanzibar Mhe:Dk Khalid Salim Mohamed (katikati),akishiriki maandamano ya Mahafali ya Chuo cha ZCBE akiwa na Uongozi wa Chuo hicho wakiingia katika ukumbi wa hafla hiyo Vitongoji Chakechake Pemba.zAKIWA  akifuatana na viongozi mbali mbali wa chuo cha ZCBE wakati wa mahafali ya pili ya Chuo hicho huko Vitongoji Chake Chake Pemba
Mkuu wa Chuo cha ZCBE Kisiwani Pemba, Abdul-wahab Said Bakar akisoma risala ya Chuo wakati wa mahafali ya pili ya chuo hicho kufanyika Kisiwani Pemba
Wahitimu wa Kanda mbali mbali ngazi ya Diploma,wakitunukiwa Shahada zao wakivaa kofia zao kuashiria kuhitimu fani zao katika mahafali ya pili ya chuo cha ZCBE Kisiwani Pemba
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk Khalid Salim Mohamed, akimkabidhi cheti mmoja wa wafanuzi bora waliofali katika fani mbali mbali zinazotolewa na Chuo cha ZCBE, wakati wa mahafali ya chuo hicho huko Chake Chake Pemba
WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk Khalid Salim Mohamed, akizungumza na wazazi, walezi, walimu na wahitimu wa kada mbali mbali katika Chuo cha ZCBE wakati wa mahafali ya Pili ya chuo hicho Kisiwani Pemba

BAADHI ya wahitimu wa kada mbali mbali katika Chuo cha ZCBE Kisiwani Pemba, wakifuatilia kwa makini hutuma ya Waziri wa Fedha Dk Khali Salim Mohamed, wakati wa mahafali ya pili ya Chuo hicho Pemba..(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.