Habari za Punde

Sherehe za siku ya wafanyakazi duniani ( Meidei) zilivyofana Mahonda

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mhe,Maudline Cyrus Castico mara alipowasili katika viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja leo katika Sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani,[Picha na Ikulu.] 01/05/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Zanzibar Maalim Khamis Mwinyi alipowasili katika viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja leo katika Sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani,[Picha na Ikulu.] 01/05/2017.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiwapungia Mkono Wafanyakazi mbali mbali waliopita mbele yake kwa Maandamano wakati wa Sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja,[Picha na Ikulu.] 01/05/2017
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiwapungia Mkono Wafanyakazi mbali mbali waliopita mbele yake kwa Maandamano wakati wa Sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja akiwa na Viongozi mbali mbali, [Picha na Ikulu.] 01/05/2017.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakipita kwa Maandamano mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa Sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja, [Picha na Ikulu.] 01/05/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiwapungia Mkono Wafanyakazi mbali mbali waliopita mbele yake kwa Maandamano wakati wa Sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja akiwa na Viongozi mbali mbali, [Picha na Ikulu.] 01/05/2017.

  Wafanyakazi na Wananchi kutoka shehia mbali mbali za  Unguja  walijumuika kwa pamoja katika Sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja,wakipita kwa maandamano mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akiwa mgeni rasmi katika sherehe hizo, [Picha na Ikulu.] 01/05/2017.
 Wafanyakazi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakibeba Bango lenye Nembo la Idara yao wakati wa maandamano  katika Sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja,ambapo mgeni rasmi alikuwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), [Picha na Ikulu.] 01/05/2017.
 Wafanyakazi wa Benki ya Tanzania BOT wakibeba Bango lenye Nembo la Idara yao wakati wa maandamano  katika Sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja,ambapo mgeni rasmi alikuwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), [Picha na Ikulu.] 01/05/2017.
Wafanyakazi wa ​Idara ya Uhamiaji Zanzibar wakimpungia Mkono ​
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),
alipokuwa akipokea ​
maandamano  katika Sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja, [Picha na Ikulu.] 01/05/2017.

 Masheha wa Kaskazini Unguja wakipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), wakati wa maandamano  katika Sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja,[Picha na Ikulu.] 01/05/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali wakishikana mikono kuonesha ishara ya Mshikamano wakati wimbo maalum wa siku ya Wafanyakazi Duniani ukiimbwa katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe zilizofanyika leo katika viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja,[Picha na Ikulu.] 01/05/2017.

 Mwakilishi wa Shirika la Wafanyakazi Duniani ILO Bw.Abert Okelo alipokuwa akitoa salamu za Shirika lake wakati wa Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo  katika viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 01/05/2017.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea Taarifa ya Mwenyekiti wa Chama cha Waaajiri Zanzibar ZANEMA Bw.Salah A.Salah wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya Kilele cha Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja,[Picha na Ikulu.] 01/05/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea Risala  ya Katibu Mkuu wa Vyama vya Wafanyakazi Zanzibar Maalim Khamis Mwinyi wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya Kilele cha Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja,[Picha na Ikulu.] 01/05/2017.
 Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mhe,Maudline Cyrus Castico alipokuwa akizungumza na wananchi na kumkaribisha Mwenyekiti wa Vyama vya Wafanyakazi katika Sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani,zilizofanyika katika viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja leo, [Picha na Ikulu.] 01/05/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimkabidhi zawadi Nd,Asia Hassan Shariff Mfanyakazi wa Chama cha ZUPHE kutoka Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais,Cheti na Fedha tasilim Shilingi za Kitanzania Millioni moja,(1,000,000,00) katika sherehe za kilele cha siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI DAY) zilizofanyika leo viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini "B "Unguja, [Picha na Ikulu.] 01/05/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimkabidhi zawadi Nd,Khalifa Muumin Hilali  Mfanyakazi wa Chama cha ZAFICOWU kutoka Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF,Cheti na Fedha tasilim Shilingi za Kitanzania Laki saba (700,000.00) katika sherehe za kilele cha siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI DAY) zilizofanyika leo viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini "B "Unguja, [Picha na Ikulu.] 01/05/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimkabidhi zawadi Nd,Asia Ismail Mohammed  kutoka ZUPHE katika Ofisi ya Rais Ikulu,Cheti na Fedha Tasilim Shilingi za Kitanzania Laki sita (600,000.00) katika sherehe za kilele cha siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI DAY) zilizofanyika leo viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini "B "Unguja, [Picha na Ikulu.] 01/05/2017.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimkabidhi zawadi Nd,Juma Mohammed Simai   kutoka ZUPHE katika Ofisi ya Rais Ikulu,Cheti na Fedha Tasilim Shilingi za Kitanzania Laki sita (600,000.00) katika sherehe za kilele cha siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI DAY) zilizofanyika leo viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini "B "Unguja, [Picha na Ikulu.] 01/05/2017.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.