Habari za Punde

Wauguzi Kisiwani Pemba Waadhimisha Siku ya Wauguzi Duniani.

Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe Harusi Said Suleiman akipokea maandamano ya Wauguzi yaliofanyika kisiwani Pemba katika viwanja vya Wawi Ofisi ya Kilimo Pemba akiwa na Viongozi wa Wizara ya Afya Pemba na Viongozi wa Chama cha Wauguzi Zanzibar.
WAUGIZI wakiadhimisha siku ya wauguzi Duniani, kwa maandamano maalumu yaliyoanzia Ofisi ya Kilimo wara hadi Kiwanda cha makonyo Wawi Chake Chake Pemba
WANAFUNZI chuo cha Afya Pemba fani ya Uuguzi, wakiw akatika maandamano ya siku ya wauguzi Duniani, maandamano hayo yaliyoanzia Ofisi ya Kilimo Wara hadi kiwanda cha Makonyo Wawi Chake Chake Pemba.
WAUGIZI wakiadhimisha siku ya wauguzi Duniani, kwa maandamano maalumu yaliyoanzia Ofisi ya Kilimo wara hadi Kiwanda cha makonyo Wawi Chake Chake Pemba.
Zanzibar Mussa Rashidi akisoma kiapo cha wauguzi, wakati wa maadhimisho ya siku ya wauguzi Duniani yaliyofanyika Kisiwani Pemba, hukuwauguzi wakiitikia kiapo hicho huko katika ukumbi wa Makonyo wawi Chake Chake.

Raya Hakim Mohamed akisoma risala ya wauguzi Zanzibar katika maadhimisho ya siku ya wauguzi Duniani yaliyofanyika Kisiwani Pemba
Dk Ali Mbarawa akizungumza na wauuguzi mbali mbali Kisiwani Pemba, wakati wa maadhimisho ya siku ya wauguzi Zanzibar yaliyofanyika Kisiwani Pemba.
NAIBU waziri wa Wizara ya Afya Zanzibar Harus Said Suleiman, wa kwanza kutoka kushoto mwenye nguo ya manjano, akipokea maandamano ya siku ya wauguzi Zanzibar.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.