Habari za Punde

Maadhimisho ya Kupiga Vita Matumizi ya Dawa za Kulevya Zanzibar.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed akizungumza wakati wa maadhimisho ya kupiga Vita Matumizi ya Dawa za Kulevya huadhimishwa kila mwaka Duniani ifikapo 26,june hafla hiyo imefanyika ukumbi wa Baraza wa zamani Kikwajuni Zanzibar na kuhudhudiwa na marika mbalimbali.

Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe Ayoub Mohammed Mahmoud akizungumza wakati wa maadhimishi ya kupiga vita matumizi ya dawa za kulevya hafla iliofanyika katika ukumbi wa baraza la wawakilishi wa zamani kikwajuni Zanzibar.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.