Habari za Punde

Matayarisho ya ujenzi wa Uwanja wa Mao Zenj yaanza

Maandalizi ya Ujenzi wa Uwanja wa Kisasa wa Mpira wa Mao waanza kwa hatua ya mwanzo ya unaofanywa na Kampuni ya Kichina kwa uchimbaji wa uwanja huo kama inavyoonekana picha harakazi hizo zikiendelea katika uwanja huo wa historia katika visiwa vya Unguja na kuibuwa vipaji vya wachezaji mbali mbali wa Zanzibar waliowika katika Kombe la Goseji na mengineyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.