Habari za Punde

Matukuo Mitaani Kisiwani Pemba.

Mwenyekiti wa Kmati ya Msikiti wa Dodo Pujini Shaame Mohammed Salum, akizungumza na Vijana waliochimba shimo la kufukiwa kinyesi karibu na viungio vya maji vinavyotoa katika kisima na kupeleka kwa wananchi.
WACHUKUZI wa Mizigo katika soko la Matunda Mjini Chake Chake, wakisubiri kushusha mizigo ikiwemo ndizi na muhogo katika Gari ya Abiria yenye namba ya ruti 309 Chake Chake-Mjawiri
.(PICHA NA ABDISULEIMAN, PEMBA).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.