WANANCHI
wa Wilaya ya Chake waliothirika na mvua na wazee wasiojiweza, wakimsikiliza
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla, wakati alipokuwa
akizungumza nao kabla ya kukabidhiwa kwa msaada wa Nguo, kutoka kwa Mwakilishi wa
Jimbo hilo Suleiman Said Sarahani.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU
wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla, akibadilishana mawazo na
Viongozi wa Taasisi ya Tembea Pamoja kutoka China, kabla ya kukabidhi Msaada wa
nguo kwa wananchi wa Chake Chake kwa kushirikiana na mwakilishi wa jimbo hilo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MWAKILISHI
wa Jimbo la Chake Chake Mhe:Suleiman Sarahan Said, akizungumza na wananchi wa
Jimbo hilo kabla ya kukabidhi msaada wa Nguo kwa watoto walioathirika na Mvua
na Wazee wasio jiweza.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA)
MWAKILISHI
wa Taasisi ya Tembea Pamoja kitoka China, Kang Ok Shion akizungumza na wananchi
wa Jimbo la Chake Chake, kabla ya kuwakabidhi nguo kwa kushirikiana na
mwakilishi wa jimbo hilo.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA)
MKUU
wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla, zungumza na wananchi wa
Jimbo la Chake Chake, kabla ya kukabidhiwa msaada wa nguo kutoka kwa Mwakilishi
wa Jimbo hilo na Taasisi ya Tembea Pamoja kutoka China.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU
wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla, akiangalia mloja ya nguo
watakazopatiwa wanafunzi wa Jimbo la Chake Chake kutoka kwa mwakilishi wa jimbo
hilo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment