Habari za Punde

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani Akutana na Timu ya Wataalamu Kutoka Benki ya Dunia Kujadili Masuala ya Wakimbizi.

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira, akizungumza na timu ya wataalamu kutoka Benki ya Dunia wanaosimamia Mpango wa Kuzisaidia Nchi Zilizoathirika na kuhifadhi Wakimbizi, waliofika wizarani kujadili masuala mbali mbali ya wakimbizi. Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa wizara, jijini Dar esSalaam
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.