Habari za Punde

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohmoud Awaapisha Masheha 120 Waliowachagua Katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Zanzibar.

MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohmoud Mohammed akimuapisha Sheha wa Shehia ya Kwaalinato Salum Shaban Mzee,hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani kikwajuni
MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohmoud Mohammed akimuapisha Sheha wa Shehia ya Mpendae Ndg Suleiman Ali Makuu,hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani kikwajuni
MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohmoud Mohammed akimuapisha Sheha wa Shehia ya Migombani Unguja Ndg. Kama Omar Mashango. Hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani kikwajuni

MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohmoud Mohammed akimuapisha Sheha wa Shehia ya Kilimani Khalid Ali Kombo,hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani kikwajuni

MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohmoud Mohammed akimuapisha Sheha wa Shehia ya Shangani  Hatib Mwinyi Simai hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani kikwajuni
MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohmoud Mohammed akimkabidhi hati ya kiapo Sheha wa Shehia ya Mkunazini Ndg. Fuad Mohammed Hussein,hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani kikwajuni
MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohmoud Mohammed akimkabidhidhi hati za kiapo Sheha wa Shehia ya Mchangani Nassir M Ali,hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani kikwajuni
MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohmoud Mohammed akimuapisha Sheha wa Shehia ya Mapinduzi Bi.Sharifa Abeid Khamis hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani kikwajuni
MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohmoud Mohammed akimuapisha Sheha wa Shehia ya Rahaleo Bi. Mwanakheri Sultan Mahmoud ,hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani kikwajuni
MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohmoud Mohammed akimuapisha Sheha wa Shehia ya Mtofaani Bi.Salama Omar Ibrahim,hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani kikwajuni

1 comment:

  1. Ingependeza kama unfalituwekea na picha za masheha wote, tukawajua hasa viongozi wetu wa mitaa

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.