MKUU
wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohmoud Mohammed akimuapisha Sheha
wa Shehia ya Kwaalinato Salum Shaban Mzee,hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika
katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani kikwajuni
MKUU
wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohmoud Mohammed akimuapisha Sheha
wa Shehia ya Mpendae Ndg Suleiman Ali Makuu,hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika
katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani kikwajuni
MKUU
wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohmoud Mohammed akimuapisha Sheha
wa Shehia ya Migombani Unguja Ndg. Kama Omar Mashango. Hafla hiyo ya kuapishwa
imefanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani kikwajuni
MKUU
wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohmoud Mohammed akimuapisha Sheha
wa Shehia ya Kilimani Khalid Ali Kombo,hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika
katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani kikwajuni
MKUU
wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohmoud Mohammed akimuapisha Sheha
wa Shehia ya Shangani Hatib Mwinyi Simai hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika
katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani kikwajuni
MKUU
wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohmoud Mohammed akimkabidhi hati
ya kiapo Sheha wa Shehia ya Mkunazini Ndg. Fuad Mohammed Hussein,hafla hiyo ya
kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani kikwajuni
MKUU
wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohmoud Mohammed akimkabidhidhi hati za kiapo Sheha
wa Shehia ya Mchangani Nassir M Ali,hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika
katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani kikwajuni
MKUU
wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohmoud Mohammed akimuapisha Sheha
wa Shehia ya Mapinduzi Bi.Sharifa Abeid Khamis hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika
katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani kikwajuni
MKUU
wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohmoud Mohammed akimuapisha Sheha
wa Shehia ya Rahaleo Bi. Mwanakheri Sultan Mahmoud ,hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika
katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani kikwajuni
MKUU
wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohmoud Mohammed akimuapisha Sheha
wa Shehia ya Mtofaani Bi.Salama Omar Ibrahim,hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika
katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani kikwajuni
Ingependeza kama unfalituwekea na picha za masheha wote, tukawajua hasa viongozi wetu wa mitaa
ReplyDelete