Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar, Hassan Vuai, akizungumza na baadhi ya Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali vikiwemo vya Serikali na binafsi, baada ya kumaliza ziara yake ya kutembelea na kuzungumza na Wafanyakazi wa vyombo mbali mbali Kisiwani Pemba .
Picha na Hamad Shapandu -MAELEZO PEMBA.
Baadhi ya Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali Kisiwani Pemba, wakimsikiliza Mkurugenzi wa Idara Habari maelezo Zanzibar,wakati alipozungumza nao kuhusiana na wajibu wao katika kufanikisha majukumu ya Uandishi wa habari .
Picha na Hamad Shapandu -Maelezo Pemba.
No comments:
Post a Comment