Habari za Punde

Ushabiki wa Soka Huanzia Mapema

Mtoto huyo akifuatilia mchezo wa  mpira ligi kuu ya Zanzibar nane bora Kati ya Jangombe Boy's akiwa na mapenzi na timu hiyo na kuchora fulana yake jina la timu hiyo kwa mapenzi ya timu hiyo akifuatilia mchezo uwanja wa Amaan Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.