Habari za Punde

Watendaji wa Serikali na Waandishi Wapata Elimu ya Matumizi ya Tumbaku Pemba.

Ofisa Mdhamini Wizara ya Afya Pemba,Ndg.Bakar Ali Bakar , akifunguwa semina ya mafunzo juu ya Kanuni za Udhibiti wa matumizi ya Tumbaku , kwa Watendaji wa Wizara ya Afya Pemba na baadhi ya Waandishi wa Wahari wa Vyombo vya Serekali na Binafsi iliofanyika katika ukumbi wa mikutano Uwanja wa Gombani Chakechake Pemba.
Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar, Dk, Fadhil, akitowa ufafanuzi juu  malengo ya Kanuni ya udhibiti wa matumizi ya Tumbaku kwa watendaji mbali mbali wa Serikali na Vyombo vya habari huko gombani Pemba.
Baadhi ya Watendaji  kutoka taasisi mbali mbali za Serikali wakiwa katika mafunzo ya Kanuni ya udhibiti wa matumizi ya Tumbaku , huko katika ukumbi wa kiwanja cha Gombani Pemba.

Baadhi ya Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali Kisiwani Pemba, wakimsikiliza kwa makini  Ofisa Mdhamini Wizara ya Afya Pemba, wakati akifunguwa mafunzo juu ya Kanuni za udhibiti wa matumizi ya Tumbaku huko Gombani Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.