Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Akutana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola.

Akiwa katika Uwanja wa Ndege wa  Abeid Karume, Makamu wa Rais amekutana na  Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Bi. Patricia Scotland ambaye alikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam akiwa ameongozana na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dk. Asha-Rose Migiro.
Bi. Scotland alikuwa mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.