Habari za Punde

Mkutano wa Majumuisho ya Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohammed Mahmoud akionesha picha zilizotolewa zawadi kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, baada ya kumaliza ziara yake katika Mkoa huo wakati wa Mkutano wac majumuisho ya ziiara yake yaliofanyika katika ukumbi wa zamani Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Zanzibar.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.