Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Atembelea Mradi wa Nyumba Fumba Kwa Badhresa.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na mfanyabiashara maarufu Zanzibar Said Bakressa akitembelea Mradi wa Nyumba za Kisasa Fumba zinazojengwa na mfanyabiashara huyo katika eneo hilo la maeneo huru ya Uchumi Zanzibar akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. 

 No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.