Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Akiendelea na Ziara Yake Wilaya ya Mkoani na Kushiriki Zoezi la Uchumaji Karafuu Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akichuma Karafuu katika Shamba la Mikarafuu Mgagadu leo ikiwa ni uzinduzi wa zoezi la uchumaji wa Karafuu katika Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini pemba alipokuwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akichuma Karafuu katika Shamba la Mikarafuu Mgagadu leo ikiwa ni uzinduzi wa zoezi la uchumaji wa Karafuu katika Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini pemba alipokuwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.