VIJANA wanaotumia, walioacha na waliopata
nafuu wa dawa za kulevya kisiwani Pemba, wakifuatilia mafunzo ya haki za
binadamu, yalioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la
Pemba, yaliofanyika ukumbi wa TASSAF Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MRATIBU wa Kituo cha Huduma za Sheria
Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, akifungua mafunzo ya haki za binadamu kwa vijana wanaotumia,
walioacha na waliopata nafuu wa dawa za kulevya kisiwani Pemba, mafunzo hayo
yalifanyika ukumbi wa TASSAF Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
AFISA uhamasishaji kutoka Tume ya Ukimwi
kisiwani Pemba, Ali Mbarouk Omar akiwasilisha mada ya mabadiliko ya tabia, kwa
vijana wanaotumia, walioacha na waliopata nafuu wa dawa za kulevya kisiwani
Pemba, kwenye mafunzo ya haki za binadamu yalioandaliwa na Kituo cha Huduma za
Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, na kufanyika Ukumbi wa TASSAF Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MTOA mada Ali Haji Mwadini kutoka Jumuia
kwa ajili ya watu wenye ulemavu wa akili Pemba, akiwasilisha mada kwa vijana wanaotumia, walioacha na waliopata
nafuu wa dawa za kulevya kisiwani Pemba, mafunzo hayo ya haki za binadamu
yaliandaliwa na ZLSC na kufanyika ukumbi wa TASSAF Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment