Habari za Punde

Uchukuaji Mizigo Kupita Kiasi na Uwezo wa Gari.

Upakizi wa mizigo kupita kiasi na uwezo wa gari husika huwa kero pale gari hiyo inapoharibika katikati ya barabara na husababisha msongamano wa magari katike eneo husika. kama inavyoonekana pichani gari hizi zikiwa na mzingo na gari yenye mkaa ikiwa imeharibika na kusimama katikati ya barabara ya muembeladu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.