Meneja Sera,
Utafiti, na Mipango kutoka ZRB Zanzibar
Ahmed Saadat, akifafanua jambo kwenye semina kwa wafanyabishara, juu ya
kuelezwa mabadiliko ya sheria mbali mbali za kodi mafunzo hayo, yalifanyika
mjini Chakechake hivi karibuni
Afisa Mwandamizi wa ZRB elimu kwa walipa kodi kutoka ZRB Zanzibara, Shaaban Yahya Ramadhan, akiwaeleza wafanyabiashara juu ya muamala wa kupitia simu ya mkononi kulipa kodi zao, kwenye semina iliofanyika hivi karibuni mjini Chakechake, kisiwani Pemba
Afisa Mwandamizi wa ZRB elimu kwa walipa kodi kutoka ZRB Zanzibara, Shaaban Yahya Ramadhan, akiwaeleza
wafanyabiashara juu ya muamala wa kupitia simu ya mkononi kulipa kodi zao,
kwenye semina iliofanyika hivi karibuni mjini Chakechake, kisiwani Pemba
Mfanyabiashara wa mjini wa Chakechake Rashid Nassor Mohamed,
‘manyimbo’, akiuliza suali kwenye semina ya wafanyabiashara, juu ya mabadiliko
ya sheria mbali mbali za kodi, kwenye semina iliofanyika hivi karibuni kisiwani
Pemba
Wafanyabiashara kisiwani Pemba wa wilaya ya Chakechake kisiwani
Pemba, wakifuatilia semina ya siku moja, juu ya kuelezwa mabadiliko ya sheria
mbali mbali za kodi, semina hiyo, ilioandaliwa na Bodi ya Mapato Zanzibar ‘ZRB’
na kufanyika mjini Chakechake hivi karibuni,
(Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment