Habari za Punde

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Dkt. Juma Mohammed Azungumza na Waandishi wa Habari Hali ya Mafuta Kisiwani Zabnzibar.

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari Zanzibar Dkt. Juma Mohammed akizungumza na waandishi wa habari wa Vyombo mbalimbali kuhusiana na Mafuta ya Petroli katika Vituo vya kuuzia mafyta kisiwani Zanzibar, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Kikwajuni Zanzibar leo.30/10/2017. 
Waandishi wa habari wakifuatilia taarifa hiyo kwa makini wakati ikitolewa na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo Zanzibar kwa waandishi wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar katika ukumbi wa Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Kikwajuni Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.