Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Aondoka Dar es Salaam Kuelekea Mkoani Mwanza Kwa Ziara ya Kikazi.

Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda akimshindikiza wakati akiondoka kuelekea Jijini Mwanza kwa ziara ya Kikazi.


Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaganna na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda  katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.