Habari za Punde

Mkurugenzi Mtendaji ZSTC akagua maendeleo ya ununuzi wa karafuu kisiwani Pemba

 Mfanyakazi wa kituo cha nunulia Karafuu cha Mkoani Bandarini, akishona Karafuu ambazo zimeshakaguliwa kwa mujibu wa madaraja yake.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC),Said Abdalla Mzee, akiangalia Karafuu ambazo zimeletwa na Mkulima wa Zao hilo kwa ajili ya kuuza katika Kituo cha Ununuzi cha Mkoani, Bandarini Pemba
 Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) Said Abdalla Mzee, akiangalia  magunia ya Karafuu ambazo tayari zimeshanunuliwa na Shirika hilo huko mkoani Bandarini.

mdhamini wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC)Pemba, Abdalla Ali Ussi , akiangalia karafuu ambazo zimemiminwa katika Kituo cha mauzo ya karafuu huko Mkoani bandarini-Pemba


PICHA NA JAMILA ABDALLA SALIM-MAELEZO.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.