Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Akutana na Ujumbe wa Shirika la UNAIDS Ikulu Zanzibar leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji  wa Shirika la UNAIDS na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw.Michel Sidibe alipofika Ikulu Mjini Zanzibar na Ujumbe wake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji  wa Shirika la UNAIDS na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw.Michel Sidibe alipofika Ikulu Mjini Zanzibar na Ujumbe wake

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji  wa Shirika la UNAIDS na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw.Michel Sidibe alipofika Ikulu Mjini Zanzibar na Ujumbe wake,[Picha na Ikulu.] 13 /10/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.