Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi Maji Nishati Zanzibar Ikulu leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira   katika  kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 24/10 /2017.
Waziri wa Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira  Mhe.Salama Aboud Twalib (katikati) akitoa maelezo  katika  kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara  hiyo katika Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wengine Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee (kulia) na Naibu Waziri Mhe.Juma Makungu Juma
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira  Nd,Ali Halil Mirza akisoma taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),akiwepo na Mshauri wa Rais masuala  ya Ardhi na Ujenzi Mhe.Burhani Saadat Haji.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Idara mbali mbali katika  Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira  wakiwa katika  kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), [Picha na Ikulu.] 24/10 /2017. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.