Habari za Punde

Ushirika wa Wachukuzi Bandari Zanzibar Wafanya Mkutano Mkuu na Kuwachagua Viongozi Wapya wa Ushirika Huo.

 Mmoja wa mchukuzi katika bandari ya Zanzibar akisoma Quran kamla ya kuaza kwa Mkutano Mkuu wa Ushirika wa Wachukuzi Bandari Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Shirika la Bandari Zanzibar na kuwachagua Viongozi Wapya wa Ushirika huo.
 Mkurugenzi Uendeshaji wa Shirika la Bandari Zanzibar Juma Sururu Juma akifungua mkutano huo na kutowa nasaha zake kwa Viongozi wapya watakaochaguliwa katika Mkutano huo uliofanyika katika Ukumbi wa Shirika la Bandari bandarini Malindi Zanzibar. 
Mmoja wa Wanaushirika wa Wachukuzi Bandarini Zanzibar akisoma Taarifa ya Ushirika huo wakati wa Mkutano Mkuu wa Ushirika huo uliofanyika katika ukumbi wa Shirika la Bandari bandarini malindi Zanzibar.
Wawakilishi wa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wachukuzi katika bandari ya malindi Zanzibar wakifuatilia Taarifa iliokuwa ikiwasilishwa wakati wa mkutano huo wa kuwachagua viongozi wapya.
 Wawakilishi wa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wachukuzi katika bandari ya malindi Zanzibar wakifuatilia Taarifa iliokuwa ikiwasilishwa wakati wa mkutano huo wa kuwachagua viongozi wapya.

Mgeni rasmin wa Mkutano Mkuu wa Ushirika wa Wachukuzi Bandari Juma Sururu Juma akiwa katika picha ya pamoja na wagombea Uongozi wa Ushirika huo baada ya kuufungua na kuaza kwa taratibu za mkutano na uchgaguzi wa Viongozi Wapya.
Mgeni rasmin wa Mkutano Mkuu wa Ushirika wa Wachukuzi Bandari Juma Sururu Juma akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Ushirika wa Wachukuzi Bandarini Zanzibar,baada ya kuufungua na kuaza kwa taratibu za mkutano na uchgaguzi wa Viongozi Wapya. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.