Habari za Punde

Wafugaji wa Samaki Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Ufugaji.

Wafugaji wa Samaki Kisiwani Pemba, wakipatiwa mafunzo ya vitendo ya utengenezaji wa Chakula cha Samaki na kuepukana na kuingia gharama ya kuagizia Chakula hicho kutoka Tanzania bara.
Wafugaji wa Samaki Kisiwani Pemba, wakipatiwa mafunzo kwa vitendo vya utengenezaji wa Chakula cha Samaki na kuepukana na kuingia gharama ya kuagizia Chakula hicho Tanzania bara.
Picha na Asha Salim - Kilimo Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.