Habari za Punde

Zoezi la uchumaji karafuu likiendelea kisiwani Pemba

 Vibaruwa wakiwa tayari kuelekea katika zoezi la uchumaji wa karafuu ili kwenda sambamba na agizo la Serikali la kuliokowa zao hilo , kama walivyokutwa na mpiga picha wetu huko katika Kambi yao Mtambwe.
Baadhi ya watoto ambao wanajihusisha na Uokotaji wa karafuu za Mpeta na kuacha kutumia haki yao ya msingi ya kupata Elimu , kama walivyokutwa na mpigapicha wetu huko katika Shamba la Makuwe Wete Pemba.


 Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba, Abeid Juma Ali, akitowa maelezo ya Uchumaji wa karafuu kwa kambi ya bwana Salim Jadi Kadika, iliopo eneo la Mtambwe Pemba, kwa Mwaziri wasikuwa na Wizara maalumu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Said Soud Said, na Juma Ali Khatib, wakati walipokuwa na ziara ya kuangalia maendeleo ya uchumaji wa zao hilo Kisiwani Pemba.

PICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA.

1 comment:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.